<?xml version="1.0" encoding="UTF-8"?><song><hymn_number>111</hymn_number>
<title>Neno Lako, Bwana TZR111</title>
<lyrics>[V1]
 Neno lako, Bwana,
 Ni imara sana;
 Lilo latwongoza,
 Lilo latufunza.

[V2]
 Adui wabaya
 Wakikaribia,
 Neno lake Bwana
 Ni ulinzi sana.

[V3]
 Siku za dhoruba
 Soma ukiomba;
 Neno lake Bwana
 Msaada sana.

[V4]
 Ukiliamini,
 Hwenda na amani;
 Una na furaha
 Neno ni siraha.

[V5]
 Ni furaha kweli,
 Na wingi wa mali,
 Neno lake Bwana
 Kwa wasiokana

[V6]
 Neno la rehema,
 Tukali wazima;
 Faraja I papo,
 Tufarikanapo.</lyrics>
</song>